Kwa zaidi ya miaka kumi na tano vitabu vya mwandishi maarufu kushinda
wote katika jamii za Waswahili kote Afrika ya Mashariki na Kati,
Marehemu Sheikh Shaaban Robert, havikupatikana Tanzania. Sababu ya
kukosekana kwa vitabu hivyo ni kuwa kampuni ya kigeni iliyovichapisha
iliamua kuacha kuvichapisha kwa sababu haikulipwa kwa fedha za kigeni
jambo, lililosabishwa na hali mbaya ya uchumi. Athari za kupotea kwa
vitabu vya Sheikh Shaaban Robert katika miaka hiyo ni kwamba
Watanzania wengi hasa wale wenye umri chini ya miaka thelathini,
hawamjui mwandishi huyu maarufu na hawakulelewa katika mazingira ya
utajiri wa maandishi yake ambayo bila shaka yoyote ni mfano pekee wa
utajiri wa urithi wa utamaduni wetu. Kwa kuvichapisha vitabu vya
Marehemeu Sheikh Shaaban Robert tunawakaribisha tena Watanzania, hasa
vijana kuvisoma, kuburudishwa na kufunzwa na yale aliyoyaandika kwa
sanaa na kipaji adimu. In this important work, Shaaban Robert gives
guidelines for authors and poets on versification, but also on
pre-requisites to good writing.
Les mer
Produktdetaljer
ISBN
9789987449941
Publisert
2023
Utgave
1. utgave
Utgiver
African Books Collective
Språk
Product language
Annet
Format
Product format
Digital bok
Forfatter